2 Chronicles 18:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mikaya akamjibu, “Siku ile utakapoingia katika chumba cha ndani kujificha ndipo utakapojua.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mikaya akajibu, “Utagundua siku hiyo utakapoenda kujificha kwenye chumba cha ndani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikaya akasema, Angalia utaona siku ile, utakapoingia katika chumba cha ndani ili ujifiche.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mikaya akamjibu, “Siku ile utakapoingia katika chumba cha ndani kujificha ndipo utakapojua.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mikaya akajibu, “Utagundua siku hiyo utakapokwenda kujificha kwenye chumba cha ndani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mikaya akajibu, “Utagundua siku hiyo utakapokwenda kujificha kwenye chumba cha ndani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mikaya akasema, Angalia utaona siku ile, utakapoingia katika chumba cha ndani ili ujifiche.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mikaya akamjibu, “Siku ile utakapoingia katika chumba cha ndani kujificha ndipo utakapojua.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikaya akasema: Jiangalie! Utaviona siku hiyo, utakapoingia chumba kwa chumba, upate kujificha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikaya akasema, Angalia utaona siku ile, utakapoingia katika chumba cha ndani ili ujifiche.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mikaya akamujibu: “Utatambua mambo haya siku ile utakapoingia katika chumba cha ndani kwa kujificha.”