2 Chronicles 18:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye mfalme wa Israeli akatoa amri, “Mkamateni Mikaya mrudisheni kwa Amoni, mkuu wa mji, na kwa Yoashi, mwana wa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme wa Israeli akaagiza, “Mchukueni Mikaya, mkamrudishe kwa Amoni mtawala wa mji, na kwa Yoashi mwana wa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme wa Israeli akasema, Mchukueni Mikaya mkamrudishe kwa Amoni mkuu wa mji, na kwa Yoashi mwana wa mfalme;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye mfalme wa Israeli akatoa amri, “Mkamateni Mikaya mrudisheni kwa Amoni, mkuu wa mji, na kwa Yoashi, mwana wa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme wa Israeli akaagiza, “Mchukueni na mkamrudishe kwa Amoni mtawala wa mji na kwa Yoashi mwana wa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme wa Israeli akaagiza, “Mchukueni na mkamrudishe kwa Amoni mtawala wa mji na kwa Yoashi mwana wa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme wa Israeli akasema, Mchukueni Mikaya mkamrudishe kwa Amoni mkuu wa mji, na kwa Yoashi mwana wa mfalme;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye mfalme wa Israeli akatoa amri, “Mkamateni Mikaya mrudisheni kwa Amoni, mkuu wa mji, na kwa Yoashi, mwana wa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme wa Waisiraeli akasema: Mchukueni Mikaya, mmrudishe kwa Amoni, mkuu wa mji, na kwa Yoasi, mwana wa mfalme,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme wa Israeli akasema, Mchukueni Mikaya mkamrudishe kwa Amoni mkuu wa mji, na kwa Yoashi mwana wa mfalme;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye mufalme wa Israeli akatoa amri: “Mumukamate Mikaya mumurudishe kwa Amoni, liwali wa muji, na kwa Yoasi, mwana wa mufalme,