2 Chronicles 18:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambie wamfunge gerezani na kumlisha mkate kidogo na maji, mpaka nitakaporudi salama.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkaseme, ‘Hivi ndivyo asemavyo mfalme: Mwekeni mtu huyu gerezani na asipewe chochote ila mkate na maji hadi nitakaporudi salama.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mkaseme, Mfalme asema hivi, Mtieni huyu gerezani, mkamlishe chakula cha shida, na maji ya shida, hata nitakaporudi kwa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambie wamfunge gerezani na kumlisha mkate kidogo na maji, mpaka nitakaporudi salama.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkaseme, ‘Hivi ndivyo asemavyo mfalme: Mwekeni mtu huyu gerezani na asipewe cho chote ila mkate na maji mpaka nitakaporudi salama.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkaseme, ‘Hivi ndivyo asemavyo mfalme: Mwekeni mtu huyu gerezani na asipewe chochote ila mkate na maji mpaka nitakaporudi salama.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mkaseme, Mfalme asema hivi, Mtieni huyu gerezani, mkamlishe chakula cha shida, na maji ya shida, hadi nitakaporudi kwa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambie wamfunge gerezani na kumlisha mkate kidogo na maji, mpaka nitakaporudi salama.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mseme: Hivi ndivyo, mfalme anavyosema: Mwekeni huyu kifungoni, mmpe chakula cha mahangaiko na maji ya mahangaiko, hata nitakaporudi salama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mkaseme, Mfalme asema hivi, Mtieni huyu gerezani, mkamlishe chakula cha shida, na maji ya shida, hata nitakaporudi kwa amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kusema: ‘Mufalme anasema hivi: Mumuweke mutu huyu katika kifungo na kumulisha kwa mukate kidogo na maji kidogo, mpaka nitakaporudi salama.’ ”