2 Chronicles 18:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, Yehoshafati akauliza, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Yehoshafati akauliza, “Je, hayuko nabii wa Mwenyezi Mungu hapa ambaye tunaweza kumuuliza?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Yehoshafati akasema, Je! Hayupo hapa nabii wa Bwana tena, ili tumwulize yeye?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, Yehoshafati akauliza, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Yehoshafati akauliza, “Je, hayuko nabii wa BWANA hapa ambaye tunaweza kumwuliza?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Yehoshafati akauliza, “Je, hayuko nabii wa bwana hapa ambaye tunaweza kumuuliza?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Yehoshafati akasema, Je! Hayupo hapa nabii mwingine wa BWANA, ili tumwulize yeye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, Yehoshafati akauliza, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosafati akauliza: Huku hakuna tena mfumbuaji wa Bwana, tumwulize naye?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Yehoshafati akasema, Je! Hayupo hapa nabii wa BWANA tena, ili tumwulize yeye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, Yosafati akauliza: “Hapa hakuna nabii mwingine wa Yawe ambaye tunaweza kumwuliza shauri?”