2 Chronicles 19:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Yehoshafati wa Yuda alirejea salama katika ikulu yake mjini Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Yehoshafati wa Yuda akarudi salama kwenye jumba lake la kifalme huko Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoshafati mfalme wa Yuda akarudi Yerusalemu nyumbani kwake kwa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Yehoshafati wa Yuda alirejea salama katika ikulu yake mjini Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Yehoshafati wa Yuda akarudi salama kwenye jumba lake la kifalme huko Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Yehoshafati wa Yuda akarudi salama kwenye jumba lake la kifalme huko Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoshafati mfalme wa Yuda akarudi Yerusalemu nyumbani kwake kwa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Yehoshafati wa Yuda alirejea salama katika ikulu yake mjini Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosafati, mfalme wa Wayuda, aliporudi nyumbani kwake kutengemania Yerusalemu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoshafati mfalme wa Yuda akarudi Yerusalemu nyumbani kwake kwa amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Yosafati wa Yuda akarudi salama katika nyumba yake ya kifalme katika muji wa Yerusalema.