2 Chronicles 19:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliteua waamuzi katika miji yote ya Yuda yenye ngome,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaweka waamuzi katika nchi, kwenye miji yote ya Yuda yenye ngome.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasimamisha makadhi katika nchi, katikati ya miji yote yenye maboma ya Yuda, mji kwa mji;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliteua waamuzi katika miji yote ya Yuda yenye ngome,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaweka waamuzi katika nchi, kwenye miji yote ya Yuda yenye maboma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaweka waamuzi katika nchi, kwenye miji yote ya Yuda yenye maboma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akateua waamuzi katika nchi, katikati ya miji yote yenye maboma ya Yuda, mji kwa mji;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliteua waamuzi katika miji yote ya Yuda yenye ngome,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaweka waamuzi katika nchi hii katika miji yote ya Yuda iliyokuwa yenye maboma, mji kwa mji,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasimamisha makadhi katika nchi, katikati ya miji yote yenye maboma ya Yuda, mji kwa mji;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaweka waamuzi katika miji yote ya Yuda yenye kuta,