2 Chronicles 19:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akawaambia, “Muwe waangalifu sana wakati mnapoamua, kwa maana hukumu mtoayo hamwitoi kwa amri ya binadamu, bali kwa amri itokayo kwa Mwenyezi-Mungu, naye yu pamoja nanyi mnapotoa uamuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Angalieni kwa makini yale mnayotenda, kwa kuwa hamkuhukumu kwa ajili ya mwanadamu bali kwa ajili ya Mwenyezi Mungu ambaye yu pamoja nanyi kila mtoapo hukumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akawaambia hao makadhi, Angalieni myafanyayo; kwa kuwa hammfanyii mwanadamu hukumu, ila Bwana; naye yupo pamoja nanyi katika neno la hukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akawaambia, “Muwe waangalifu sana wakati mnapoamua, kwa maana hukumu mtoayo hamwitoi kwa amri ya binadamu, bali kwa amri itokayo kwa Mwenyezi-Mungu, naye yu pamoja nanyi mnapotoa uamuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Angalieni kwa makini yale mtendayo, kwa kuwa hamkuhukumu kwa ajili ya mwanadamu bali kwa ajili ya BWANA ambaye yu pamoja nanyi kila mtoapo hukumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Angalieni kwa makini yale mtendayo, kwa kuwa hamkuhukumu kwa ajili ya mwanadamu bali kwa ajili ya bwana ambaye yu pamoja nanyi kila mtoapo hukumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akawaambia hao waamuzi, Angalieni myafanyayo; kwa kuwa hammfanyii mwanadamu hukumu, ila BWANA; naye yupo pamoja nanyi katika neno la hukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akawaambia, “Muwe waangalifu sana wakati mnapoamua, kwa maana hukumu mtoayo hamwitoi kwa amri ya binadamu, bali kwa amri itokayo kwa Mwenyezi-Mungu, naye yu pamoja nanyi mnapotoa uamuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaambia waamuzi: yaangalieni mtakayoyafanya! Kwani sio watu, mnaowafanyia kazi ya uamuzi, ila Bwana, naye yuko pamoja nanyi, mnapokata mashauri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akawaambia hao makadhi, Angalieni myafanyayo; kwa kuwa hammfanyii mwanadamu hukumu, ila BWANA; naye yupo pamoja nanyi katika neno la hukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akawaambia: “Muwe waangalifu sana wakati munapoamua, kwa maana hukumu munayotoa hamuitoi kwa amri ya mwanadamu, lakini kwa amri inayotoka kwa Yawe, naye yuko pamoja nanyi munapotoa uamuzi.