2 Chronicles 19:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaamuru akisema; “Tekelezeni wajibu wenu mkimwogopa Mwenyezi-Mungu, kwa uaminifu na kwa moyo wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawapa maagizo haya: “Ni lazima mtumike kwa uaminifu na kwa moyo wote katika kicho cha Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaagiza, akasema, Ndivyo mtakavyotenda kwa hofu ya Bwana, kwa uaminifu, na kwa moyo kamili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaamuru akisema; “Tekelezeni wajibu wenu mkimwogopa Mwenyezi-Mungu, kwa uaminifu na kwa moyo wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawapa maagizo haya: “Ni lazima mtumike kwa uaminifu na kwa moyo wote katika kicho cha BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawapa maagizo haya: “Ni lazima mtumike kwa uaminifu na kwa moyo wote katika kicho cha bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaagiza, akasema, Ndivyo mtakavyotenda kwa hofu ya BWANA, kwa uaminifu, na kwa moyo wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaamuru akisema; “Tekelezeni wajibu wenu mkimwogopa Mwenyezi-Mungu, kwa uaminifu na kwa moyo wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaagiza kwamba: Haya myafanye kwa kumwogopa Bwana na kwa welekevu na kwa mioyo yote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaagiza, akasema, Ndivyo mtakavyotenda kwa hofu ya BWANA, kwa uaminifu, na kwa moyo kamili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaamuru akisema: “Ndivyo mutakavyotenda mukimwogopa Yawe, kwa uaminifu na kwa moyo wote.