2 Chronicles 2:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Solomoni alikata shauri kujenga nyumba ambamo Mwenyezi-Mungu ataabudiwa, na pia kujijengea yeye mwenyewe jumba la kifalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani akatoa amri kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina la Mwenyezi Mungu na jumba la kifalme kwa ajili yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sulemani alikusudia kujenga nyumba kwa jina la Bwana, na kuujengea ufalme wake nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Solomoni alikata shauri kujenga nyumba ambamo Mwenyezi-Mungu ataabudiwa, na pia kujijengea yeye mwenyewe jumba la kifalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni akatoa amri kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina la BWANA na jumba la kifalme kwa ajili yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani akatoa amri kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina la bwana na jumba la kifalme kwa ajili yake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sulemani alikusudia kujenga nyumba kwa jina la BWANA, na kuujengea ufalme wake nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Solomoni alikata shauri kujenga nyumba ambamo Mwenyezi-Mungu ataabudiwa, na pia kujijengea yeye mwenyewe jumba la kifalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Salomo akawaza kulijengea Jina la Bwana nyumba, tena kujijengea mwenyewe nyumba ya kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sulemani alikusudia kujenga nyumba kwa jina la BWANA, na kuujengea ufalme wake nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akapanga wanaume elfu makumi saba kuwa wabebaji wa mizigo, elfu makumi nane kuwa wachongaji wa mawe kwenye milima na wengine elfu tatu mia sita kuwa wasimamizi wao.