2 Chronicles 2:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, alimjibu Solomoni kwa barua akisema: “Kwa kuwa Mwenyezi-Mungu anawapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akamjibu Sulemani kwa barua: “Kwa sababu Mwenyezi Mungu anawapenda watu wake, amekufanya wewe kuwa mfalme wao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akajibu kwa waraka, aliompelekea Sulemani, Ni kwa sababu Bwana awapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme juu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, alimjibu Solomoni kwa barua akisema: “Kwa kuwa Mwenyezi-Mungu anawapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akamjibu Solomoni kwa barua: “Kwa sababu BWANA anawapenda watu wake, amekufanya wewe kuwa mfalme wao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akamjibu Sulemani kwa barua: “Kwa sababu bwana anawapenda watu wake, amekufanya wewe kuwa mfalme wao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akajibu kwa waraka, aliomtumia Sulemani, Ni kwa sababu BWANA awapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme juu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, alimjibu Solomoni kwa barua akisema: “Kwa kuwa Mwenyezi-Mungu anawapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huramu, mfalme wa Tiro, akamjibu kwa barua, aliyoituma kwake Salomo kwamba: Kwa hivyo, Bwana anavyoupenda ukoo wake, amekupa kuwa mfalme wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akajibu kwa waraka, aliompelekea Sulemani, Ni kwa sababu BWANA awapenda watu wake, amekufanya uwe mfalme juu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atukuzwe Yawe, Mungu wa Israeli, aliyeumba mbingu na dunia! Amemupa mufalme Daudi mwana mwenye hekima, ufahamu na akili, atakayemujengea Yawe nyumba, na kujijengea nyumba ya kifalme.