2 Chronicles 2:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa nakupelekea fundi stadi sana na mwenye akili, jina lake Huramu-abi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mimi nitamtuma kwako Huram-Abi, mtu mwenye ustadi mwingi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa nimemtuma mtu mstadi, mwenye akili, yaani, Hiramu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa nakupelekea fundi stadi sana na mwenye akili, jina lake Huramu-abi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mimi nitamtuma kwako Huramu-Abi, mtu mwenye ustadi mwingi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mimi nitamtuma kwako Huramu-Abi, mtu mwenye ustadi mwingi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa nimemtuma mtu stadi, mwenye akili, yaani, Hiramu baba yangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa nakupelekea fundi stadi sana na mwenye akili, jina lake Huramu-abi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa natuma kwako mtu aliye fundi kweli, mwenye ujuzi na utambuzi, aliyemfanyia baba yangu Huramu kazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa nimemtuma mtu mstadi, mwenye akili, yaani, Hiramu baba yangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mama yake ni wa kabila la Dani, na baba yake ni wa Tiro. Yeye ana ujuzi mwingi wa kazi ya zahabu, feza, shaba, chuma, mawe, miti, nguo ya rangi nyekundu-nyeusi, ya samawi, ya nyekundu na ya kitani safi. Tena ni hodari na anaweza kuchora kila aina ya michoro kufuatana na maelezo yoyote ambayo angepewa. Yeye atafanya kazi pamoja na wafundi wako, wafundi wa bwana wangu, Daudi baba yako.