2 Chronicles 2:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa basi, bwana wangu, vitu hivyo ulivyosema: Ngano, shayiri, mafuta na divai, tafadhali uvitume kwa watumishi wako,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa basi bwana wangu na awapelekee watumishi wake ngano, shayiri, mafuta ya zeituni na mvinyo kama alivyoahidi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa hiyo ngano na shayiri, mafuta na mvinyo, aliyonena bwana wangu, na wapelekewe watumishi wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa basi, bwana wangu, vitu hivyo ulivyosema: ngano, shayiri, mafuta na divai, tafadhali uvitume kwa watumishi wako,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa basi bwana wangu na awapelekee watumishi wake ngano, shayiri, mafuta ya zeituni na mvinyo kama alivyoahidi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa basi bwana wangu na awapelekee watumishi wake ngano, shayiri, mafuta ya zeituni na mvinyo kama alivyoahidi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa hiyo ngano na shayiri, mafuta na mvinyo, aliyonena bwana wangu, na wapelekewe watumishi wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa basi, bwana wangu, vitu hivyo ulivyosema: Ngano, shayiri, mafuta na divai, tafadhali uvitume kwa watumishi wako,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa bwana wangu na awapelekee watumishi wake ngano na mawele, mvinyo na mafuta, aliyoyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa hiyo ngano na shayiri, mafuta na mvinyo, aliyonena bwana wangu, na wapelekewe watumishi wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nasi tutapasua mbao kadiri ya mahitaji yako kutoka kule Lebanoni. Kisha tutazifunga pamoja kwa njia ya bahari zielee mpaka Yopa. Kutoka kule utazipeleka Yerusalema.”