2 Chronicles 2:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nasi tutapasua mbao kadiri ya mahitaji yako kutoka huko Lebanoni; kisha tutazifunga pamoja zielee majini mpaka Yopa. Kutoka huko utazipeleka Yerusalemu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nasi tutakata magogo yote yale unayohitaji kutoka Lebanoni nasi tutayafunga pamoja na kuyaweka yaelee baharini hadi Yafa. Kisha utaweza kuyapeleka hadi Yerusalemu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nasi tutakata miti katika Lebanoni, kadiri utakavyohitaji; na kukuletea tukiieleza baharini mpaka Yafa; nawe utaichukua Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nasi tutapasua mbao kadiri ya mahitaji yako kutoka huko Lebanoni; kisha tutazifunga pamoja zielee majini mpaka Yopa. Kutoka huko utazipeleka Yerusalemu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nasi tutakata magogo yote yale unayohitaji kutoka Lebanoni nasi tutayafunga pamoja na kuyaweka yaelee baharini mpaka Yafa. Kisha utaweza kuyachukua mpaka Yerusalemu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nasi tutakata magogo yote yale unayohitaji kutoka Lebanoni nasi tutayafunga pamoja na kuyaweka yaelee baharini mpaka Yafa. Kisha utaweza kuyachukua mpaka Yerusalemu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nasi tutakata miti katika Lebanoni, kadiri utakavyohitaji; na kukuletea tukiieleza baharini mpaka Yafa; nawe utaipeleka Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nasi tutapasua mbao kadiri ya mahitaji yako kutoka huko Lebanoni; kisha tutazifunga pamoja zielee majini mpaka Yopa. Kutoka huko utazipeleka Yerusalemu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasi tutakata miti huko Libanoni yote, utakayoitaka ya kutumia, kisha tutaipeleka kwako kwa kuieleza baharini hata Yafo (Yope), huko utaichukua kuipeleka Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nasi tutakata miti katika Lebanoni, kadiri utakavyohitaji; na kukuletea tukiieleza baharini mpaka Yafa; nawe utaichukua Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Solomono akawahesabu wageni wote waliokuwa katika inchi ya Israeli. Hesabu hii ni kama ile Daudi baba yake aliyofanya. Kulikuwa wageni yapata elfu mia moja makumi tano na tatu na mia sita.