2 Chronicles 2:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumba ninayokusudia kujenga itakuwa kubwa sana, kwani Mungu wetu ni mkuu zaidi ya miungu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hekalu nitakalolijenga litakuwa kubwa, kwa sababu Mungu wetu ni mkuu kuliko miungu mingine yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo nyumba nitakayoijenga ni kubwa; kwa sababu Mungu wetu ndiye mkuu juu ya miungu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumba ninayokusudia kujenga itakuwa kubwa sana, kwani Mungu wetu ni mkuu zaidi ya miungu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hekalu nitakalolijenga litakuwa kubwa, kwa sababu Mungu wetu ni mkuu kuliko miungu mingine yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hekalu nitakalolijenga litakuwa kubwa, kwa sababu Mungu wetu ni mkuu kuliko miungu mingine yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo nyumba nitakayoijenga ni kubwa; kwa sababu Mungu wetu ndiye mkuu juu ya miungu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumba ninayokusudia kujenga itakuwa kubwa sana, kwani Mungu wetu ni mkuu zaidi ya miungu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo nyumba, nitakayoijenga, sharti iwe kubwa, kwani Mungu wetu ni mkubwa kuliko miungu yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo nyumba nitakayoijenga ni kubwa; kwa sababu Mungu wetu ndiye mkuu juu ya miungu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ni nani anayeweza kumujengea nyumba ikiwa mbingu zenyewe hazimutoshi, wala mbingu za juu sana? Nami ni nani basi, hata nimujengee nyumba isipokuwa tu kama pahali pa kufukizia ubani mbele yake?