2 Chronicles 2:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili wanipasulie mbao kwa wingi, maana nyumba ninayokusudia kujenga ni kubwa na ya ajabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili wanipatie mbao kwa wingi kwa sababu Hekalu nitakalojenga lazima liwe kubwa na zuri kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili wanitengenezee miti kwa wingi; kwani nyumba nitakayoijenga itakuwa kubwa ajabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili wanipasulie mbao kwa wingi, maana nyumba ninayokusudia kujenga ni kubwa na ya ajabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili wanipatie mbao kwa wingi kwa sababu Hekalu nitakalojenga lazima liwe kubwa na zuri kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili wanipatie mbao kwa wingi kwa sababu Hekalu nitakalojenga lazima liwe kubwa na zuri kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili wanitengenezee miti kwa wingi; kwani nyumba nitakayoijenga itakuwa kubwa ajabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili wanipasulie mbao kwa wingi, maana nyumba ninayokusudia kujenga ni kubwa na ya ajabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wanitengenezee miti mingi, kwani nyumba, mimi nitakayoijenga, itakuwa kubwa ya ajabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili wanitengenezee miti kwa wingi; kwani nyumba nitakayoijenga itakuwa kubwa ajabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya watumishi wako, ni kusema waseremala watakaopasua mbao, nitatoa toni mia mbili za ngano iliyopondwa, toni mia mbili za shayiri, litre elfu mia ine za divai na litre elfu mia ine za mafuta.”