2 Chronicles 20:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya muda, majeshi ya Moabu na Amoni pamoja na baadhi ya Wameuni, waliivamia Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikawa baada ya jambo hili, Wamoabu na Waamoni, pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja ili wapigane vita na Yehoshafati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa baadaye, wana wa Moabu, na wana wa Amoni, na pamoja nao baadhi ya Wameuni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya muda, majeshi ya Moabu na Amoni pamoja na baadhi ya Wameuni, waliivamia Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa baada ya jambo hili, Wamoabu na Waamoni, pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja ili wapigane vita na Yehoshafati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikawa baada ya jambo hili, Wamoabu na Waamoni, pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja ili wapigane vita na Yehoshafati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya hayo, wana wa Moabu, na wana wa Amoni, pamoja nao baadhi ya Wameuni, wakaja juu ya Yehoshafati vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya muda, majeshi ya Moabu na Amoni pamoja na baadhi ya Wameuni, waliivamia Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa baada ya hayo, wakaja wana wa Moabu na wana wa Amoni pamoja na Waamoni wengine kumpelekea Yosafati vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa baadaye, wana wa Moabu, na wana wa Amoni, na pamoja nao baadhi ya Wameuni, wakaja juu ya Yehoshafati vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya mambo hayo, majeshi ya Wamoabu na Waamoni pamoja na sehemu ya Wameuni wakashambulia inchi ya Yuda.