2 Chronicles 20:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa watu wa Amoni, Moabu na wa mlima Seiri, ambao hukuwaruhusu babu zetu washambulie nchi zao walipotoka Misri, wakapitia kandokando wasiwaangamize,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini sasa hawa watu wa Amoni, Moabu na Mlima Seiri, ambao hukuwaruhusu Israeli wazivamie nchi zao wakati walitoka Misri; hivyo wakageukia mbali nao na hawakuwaangamiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, tazama, wana wa Amoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, ambao hukuwaacha Israeli waingie katika nchi yao, walipotoka nchi ya Misri; lakini wakawageukia mbali, wasiwaharibu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa watu wa Amoni, Moabu na wa mlima Seiri, ambao hukuwaruhusu babu zetu washambulie nchi zao walipotoka Misri, wakapitia kandokando wasiwaangamize,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini sasa hawa watu wa kutoka Amoni, Moabu na Mlima Seiri, ambao hukuwaruhusu Israeli wazivamie nchi zao wakati walipotoka Misri, hivyo wakageukia mbali nao na hawakuwaangamiza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini sasa hawa watu wa kutoka Amoni, Moabu na Mlima Seiri, ambao hukuwaruhusu Israeli wazivamie nchi zao wakati walitoka Misri, hivyo wakageukia mbali nao na hawakuwaangamiza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, tazama, wana wa Amoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, ambao hukuwaacha Israeli waingie katika nchi yao, walipotoka nchi ya Misri; lakini wakawageukia mbali, wasiwaharibu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa watu wa Amoni, Moabu na wa mlima Seiri, ambao hukuwaruhusu babu zetu washambulie nchi zao walipotoka Misri, wakapitia kandokando wasiwaangamize,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa watazame hawa wana wa Amoni na wa Moabu na wa milima ya Seiri! Hapo, Waisiraeli walipotoka katika nchi ya Misri, hukuwapa ruhusa kuingia kwao hawa; kwa hiyo waliondoka kwao pasipo kuwaangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, tazama, wana wa Amoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, ambao hukuwaacha Israeli waingie katika nchi yao, walipotoka nchi ya Misri; lakini wakawageukia mbali, wasiwaharibu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa Waamoni, Wamoabu na watu wa mulima Seiri, ambao haukuwaruhusu babu zetu washambulie inchi zao walipotoka Misri, wakapitia kandokando wasiwaangamize,