2 Chronicles 20:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
tazama, jinsi wanavyotulipa. Wanakuja kututoa katika nchi yako uliyotupa iwe mali yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi wanavyotulipa kwa kuja kututupa nje ya milki uliyotupatia sisi kuwa urithi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tazama, jinsi wanavyotulipa, wakija kututupa toka milki yako, uliyoturithisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
tazama, jinsi wanavyotulipa. Wanakuja kututoa katika nchi yako uliyotupa iwe mali yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
tazama jinsi wanavyotulipa kwa kuja kututupa nje ya milki uliyotupa sisi kuwa urithi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
tazama jinsi wanavyotulipa kwa kuja kututupa nje ya milki uliyotupa sisi kuwa urithi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tazama, jinsi wanavyotulipa, wakija kututupa toka milki yako, uliyoturithisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
tazama, jinsi wanavyotulipa. Wanakuja kututoa katika nchi yako uliyotupa iwe mali yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa unawaona, wanavyotufanyizia wakija kutufukuza katika nchi hii, uliyotupatia, utupe sisi, iwe fungu letu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tazama, jinsi wanavyotulipa, wakija kututupa toka milki yako, uliyoturithisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
angalia, jinsi wanavyotulipa. Wanakuja kutuondoa katika inchi yako uliyoturizisha ikuwe urizi wetu.