2 Chronicles 20:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho washambulieni wakati watakapokuwa wakipanda Bonde la Sisi. Mtawakuta mwisho wa bonde, mashariki mwa jangwa la Yerueli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho shukeni kukabiliana nao. Watakwea kwa kupandia Genge la Sisi, nanyi mtawakuta mwisho wa bonde, kabla ya Jangwa la Yerueli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kesho shukeni juu yao; tazameni, wanakwea kwa kupandia Sisi; nanyi mtawapata penye mwisho wa bonde, mbele ya jangwa la Yerueli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho washambulieni wakati watakapokuwa wakipanda Bonde la Sisi. Mtawakuta mwisho wa bonde, mashariki mwa jangwa la Yerueli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho shukeni kukabiliana nao. Wanakwea kwa kupandia Genge la Sisi, nanyi mtawakuta mwisho wa bonde, kabla ya Jangwa la Yerueli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho shukeni kukabiliana nao. Watakwea kwa kupandia Genge la Sisi, nanyi mtawakuta mwisho wa bonde, kabla ya Jangwa la Yerueli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kesho shukeni juu yao; tazameni, wanakwea kwa kupandia Sisi; nanyi mtawapata penye mwisho wa bonde, mbele ya jangwa la Yerueli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho washambulieni wakati watakapokuwa wakipanda Bonde la Sisi. Mtawakuta mwisho wa bonde, mashariki mwa jangwa la Yerueli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho shukeni kwenda kwao! Ndipo, mtakapowaona, wakipanda pa kupandia kwenda Sisi, nanyi mtawakuta kwenye mwisho wa bonde lililoko mbele ya nyika ya Yerueli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kesho shukeni juu yao; tazameni, wanakwea kwa kupandia Sisi; nanyi mtawapata penye mwisho wa bonde, mbele ya jangwa la Yerueli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho muwashambulie wakati watakapokuwa wakipanda Bonde la Sisi. Mutawakuta mwisho wa bonde, upande wa mashariki wa jangwa la Yerueli.