2 Chronicles 20:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mfalme Yehoshafati akasujudu pamoja na watu wote wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu wakamsujudu na kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoshafati akasujudu, uso wake ukigusa chini, nao watu wote wa Yuda na Yerusalemu wakasujudu na kuabudu mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoshafati akainama kichwa, kifulifuli; wakaanguka mbele za Bwana Yuda wote na wakaao Yerusalemu, wakimsujudia Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mfalme Yehoshafati akasujudu pamoja na watu wote wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu wakamsujudu na kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoshafati akainama na kusujudu uso wake hadi chini, nao watu wote wa Yuda na Yerusalemu wakaanguka chini ili kuabudu mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoshafati akainamisha uso wake chini, nao watu wote wa Yuda na Yerusalemu wakaanguka chini ili kuabudu mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoshafati akasujudu; wakaanguka mbele za BWANA Yuda wote na wakaao Yerusalemu, wakimsujudia BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo mfalme Yehoshafati akasujudu pamoja na watu wote wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu wakamsujudu na kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yosafati alipouinamisha uso wake hata chini, hata Wayuda wote pamoja na wenyeji wa Yerusalemu wakamwangukia Bwana na kumwomba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoshafati akainama kichwa, kifulifuli; wakaanguka mbele za BWANA Yuda wote na wakaao Yerusalemu, wakimsujudia BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme Yosafati akainama uso mpaka chini pamoja na watu wote wa Yuda na wakaaji wa Yerusalema na kumwabudu Yawe.