2 Chronicles 20:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi wa ukoo wa Kohathi na Kora, wakasimama na kumsifu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa sauti kubwa sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo baadhi ya Walawi kutoka kwa Wakohathi na kwa wana wa Kora wakasimama na kumsifu Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, kwa sauti kuu sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Walawi, wa wana wa Wakohathi na wa wana wa Wakorahi, wakasimama ili wamsifu Bwana, Mungu wa Israeli, kwa sauti kuu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi wa ukoo wa Kohathi na Kora, wakasimama na kumsifu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa sauti kubwa sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo baadhi ya Walawi kutoka kwa Wakohathi na kwa wana wa Kora wakasimama na kumsifu BWANA, Mungu wa Israeli, kwa sauti kuu sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo baadhi ya Walawi kutoka kwa Wakohathi na kwa wana wa Kora wakasimama na kumsifu bwana, Mungu wa Israeli, kwa sauti kuu sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Walawi, wa wana wa Wakohathi na wa wana wa Wakorahi, wakasimama ili wamsifu BWANA, Mungu wa Israeli, kwa sauti kuu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi wa ukoo wa Kohathi na Kora, wakasimama na kumsifu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa sauti kubwa sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakainuka Walawi waliokuwa wa mlango wa Kehati na wa Kora kumshangilia Bwana Mungu wa Isiraeli, wakizipaza kabisa sauti zao ziwe kuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Walawi, wa wana wa Wakohathi na wa wana wa Wakorahi, wakasimama ili wamsifu BWANA, Mungu wa Israeli, kwa sauti kuu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi na ukoo wa Kohati na Kora, wakasimama na kumusifu Yawe, Mungu wa Israeli, kwa sauti kubwa sana.