2 Chronicles 20:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jeshi la Yuda lilipofika penye mnara wa ulinzi huko jangwani, waliangalia upande wa maadui, wakaona maiti zimetapakaa kila mahali. Hakuna mtu yeyote aliyenusurika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda walipofika katika mnara wa ulinzi wa jangwani, wakaliangalia lile jeshi kubwa, wakaona ni maiti tupu zimetapakaa ardhini, wala hakuna yeyote aliyenusurika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata Yuda walipofika mnara wa kulindia wa jangwani, wakalitazama hilo jeshi; nao, angalia, walikuwa maiti walioanguka nchi, wala hapana aliyeokoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jeshi la Yuda lilipofika penye mnara wa ulinzi huko jangwani, waliangalia upande wa maadui, wakaona maiti zimetapakaa kila mahali. Hakuna mtu yeyote aliyenusurika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda walipofika katika mnara wa ulinzi wa jangwani, wakaliangalia lile jeshi kubwa, wakaona ni maiti tupu zimetapakaa ardhini, wala hakuna ye yote aliyenusurika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda walipofika katika mnara wa ulinzi wa jangwani, wakaliangalia lile jeshi kubwa, wakaona ni maiti tupu zimetapakaa ardhini, wala hakuna yeyote aliyenusurika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata Yuda walipofika mnara wa ulinzi wa jangwani, wakalitazama hilo jeshi; nao, angalia, walikuwa maiti walioanguka nchi, wala hapana aliyeokoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jeshi la Yuda lilipofika penye mnara wa ulinzi huko jangwani, waliangalia upande wa maadui, wakaona maiti zimetapakaa kila mahali. Hakuna mtu yeyote aliyenusurika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda walipofika hapo pa kuchungulia nyikani, wakiugeukia ule uvumi wa watu, wakaona mizoga tu iliyolala chini, hakuwako aliyepona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata Yuda walipofika mnara wa kulindia wa jangwani, wakalitazama hilo jeshi; nao, angalia, walikuwa maiti walioanguka nchi, wala hapana aliyeokoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jeshi la Yuda lilipofika kwenye munara wa ulinzi kule katika jangwa, wakaangalia upande wa waadui, wakaona maiti zimesambaa kila pahali. Hakuna mutu yeyote aliyeponyoka.