2 Chronicles 20:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipofika Yerusalemu, walikwenda moja kwa moja hadi nyumba ya Mwenyezi-Mungu, wakipiga vinanda, vinubi na tarumbeta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaingia Yerusalemu na kwenda hekaluni mwa Mwenyezi Mungu wakiwa na vinubi, zeze na tarumbeta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafika Yerusalemu wenye vinanda vinubi na mapanda kwenda nyumbani kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipofika Yerusalemu, walikwenda moja kwa moja hadi nyumba ya Mwenyezi-Mungu, wakipiga vinanda, vinubi na tarumbeta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaingia Yerusalemu na kwenda hekaluni mwa BWANA wakiwa na vinubi, zeze na tarumbeta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaingia Yerusalemu na kwenda hekaluni mwa bwana wakiwa na vinubi, zeze na tarumbeta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafika Yerusalemu wenye vinanda, vinubi na parapanda kwenda nyumbani kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipofika Yerusalemu, walikwenda moja kwa moja hadi nyumba ya Mwenyezi-Mungu, wakipiga vinanda, vinubi na tarumbeta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaingia Yerusalemu na kupiga mapango na mazeze na matarumbeta, wakaingia Nyumbani mwa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafika Yerusalemu wenye vinanda vinubi na mapanda kwenda nyumbani kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipofika Yerusalema, walikwenda moja kwa moja mpaka kwenye nyumba ya Yawe, wakipiga vinanda, vinubi na baragumu.