2 Chronicles 20:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Falme zote ziliingiwa na hofu ziliposikia jinsi Mwenyezi-Mungu alivyowashinda maadui za Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hofu ya Mungu ikazipata falme zote za nchi waliposikia jinsi Mwenyezi Mungu alivyokuwa amepigana dhidi ya adui za Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa hofu ya Mungu juu ya falme zote za nchi, waliposikia ya kuwa Bwana amepigana juu ya adui za Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Falme zote ziliingiwa na hofu ziliposikia jinsi Mwenyezi-Mungu alivyowashinda maadui za Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hofu ya Mungu ikazipata falme zote za nchi waliposikia jinsi BWANA alivyokuwa amepigana dhidi ya adui za Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hofu ya Mungu ikazipata falme zote za nchi waliposikia jinsi bwana alivyokuwa amepigana dhidi ya adui za Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa hofu ya Mungu juu ya falme zote za nchi, waliposikia ya kuwa BWANA amepigana juu ya adui za Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Falme zote ziliingiwa na hofu ziliposikia jinsi Mwenyezi-Mungu alivyowashinda maadui za Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tisho la Bwana likaziguia hizo nchi zote zenye wafalme, waliposikia, ya kama Bwana amepigana na adui za Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa hofu ya Mungu juu ya falme zote za nchi, waliposikia ya kuwa BWANA amepigana juu ya adui za Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Falme zote zikaingiwa na hofu ziliposikia jinsi Yawe alivyowashinda waadui za Israeli.