2 Chronicles 20:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoshafati akashikwa na woga, akamwomba Mwenyezi-Mungu amwongoze. Akatangaza watu wote nchini Yuda wafunge.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoshafati akaogopa, akaamua kumtafuta Mwenyezi Mungu, na akatangaza kwa Yuda wote kufunga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoshafati akaogopa, akauelekeza uso wake amtafute Bwana; akatangaza mbiu ya watu kufunga katika Yuda yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoshafati akashikwa na woga, akamwomba Mwenyezi-Mungu amwongoze. Akatangaza watu wote nchini Yuda wafunge.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafuta BWANA, akatangaza kwa Yuda wote kufunga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafuta bwana, na akatangaza kwa Yuda wote kufunga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoshafati akaogopa, akauelekeza uso wake amtafute BWANA; akatangaza watu wote kufunga katika Yuda yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoshafati akashikwa na woga, akamwomba Mwenyezi-Mungu amwongoze. Akatangaza watu wote nchini Yuda wafunge.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosafati akaogopa, akamwelekezea Bwana uso wake na kulitafuta shauri lake, akatangaza katika nchi yote ya Yuda, watu wafunge.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoshafati akaogopa, akauelekeza uso wake amtafute BWANA; akatangaza mbiu ya watu kufunga katika Yuda yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosafati akashikwa na woga, akamwomba Yawe amwongoze. Akatangaza kwamba watu wote katika inchi ya Yuda wafunge kula.