2 Chronicles 20:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yehoshafati akatawala kwa amani, na Mungu akampa amani pande zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ufalme wa Yehoshafati ukawa na amani, kwa kuwa Mungu wake alikuwa amempa amani pande zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ukatulia ufalme wake Yehoshafati; kwa sababu Mungu wake alimstarehesha pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yehoshafati akatawala kwa amani, na Mungu akampa amani pande zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ufalme wa Yehoshafati ukawa na amani, kwa kuwa Mungu wake alikuwa amemstarehesha pande zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ufalme wa Yehoshafati ukawa na amani, kwa kuwa Mungu wake alikuwa amemstarehesha pande zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ukatulia ufalme wake Yehoshafati; kwa sababu Mungu wake alimstarehesha pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yehoshafati akatawala kwa amani, na Mungu akampa amani pande zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo ufalme wa Yosafati ukapata kutengemana, Mungu wake akimpatia utulivu pande zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ukatulia ufalme wake Yehoshafati; kwa sababu Mungu wake alimstarehesha pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yosafati akatawala kwa amani, na Mungu akamupa amani pande zote.