2 Chronicles 20:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoshafati alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala Yuda. Alitawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa miaka ishirini na mitano. Mama yake alikuwa Azuba binti Shilhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Yehoshafati akatawala Yuda. Alikuwa na umri wa miaka thelathini na tano alipoanza kutawala, akatawala katika Yerusalemu kwa miaka ishirini na tano. Mama yake aliitwa Azuba binti Shilhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoshafati akatawala juu ya Yuda; alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala, akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoshafati alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala Yuda. Alitawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa miaka ishirini na mitano. Mama yake alikuwa Azuba binti Shilhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Yehoshafati akatawala Yuda. Alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala, akatawala katika Yerusalemu kwa miaka ishirini na mitano. Mama yake aliitwa Azuba binti Shilhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Yehoshafati akatawala Yuda. Alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala, akatawala katika Yerusalemu kwa miaka ishirini na mitano. Mama yake aliitwa Azuba binti Shilhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoshafati alipoanza kutawala Yuda; alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano, huko Yerusalemu, akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoshafati alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala Yuda. Alitawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa miaka ishirini na mitano. Mama yake alikuwa Azuba binti Shilhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosafati akawa mfalme wa Wayuda, naye alikuwa mwenye miaka 35 alipoupata ufalme, akawa mfalme mle Yerusalemu miaka 25. Jina la mama yake ni Azuba, binti Silihi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoshafati akatawala juu ya Yuda; alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala, akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosafati alikuwa na umri wa miaka makumi tatu na mitano alipoanza kutawala inchi ya Yuda. Alitawala kutoka Yerusalema kwa muda wa miaka makumi mbili na tano. Jina la mama yake ni Azuba binti ya Silihi.