2 Chronicles 20:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Asa baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alienenda katika njia za Asa baba yake wala hakuenda kinyume chake. Alifanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaiendea njia ya Asa babaye, wala hakuiacha, akifanya yaliyo mema machoni pa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Asa baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaiendea njia ya Asa baba yake wala hakuiacha, akifanya yaliyo mema machoni pa BWANA Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alienenda katika njia za Asa baba yake wala hakwenda kinyume chake. Alifanya yaliyo mema machoni pa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaiendea njia ya Asa babaye, wala hakuiacha, akifanya yaliyo mema machoni pa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Asa baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaendelea kuishika njia ya baba yake Asa, hakuiacha kabisa, akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaiendea njia ya Asa babaye, wala hakuiacha, akifanya yaliyo mema machoni pa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosafati alitenda mema mbele ya Yawe kama vile Asa baba yake alivyofanya.