2 Chronicles 20:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hakupaharibu mahali pa kutolea tambiko kilimani. Watu walikuwa bado hawajamgeukia na kumwabudu Mungu wa babu zao kwa mioyo yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa, na watu wakawa bado hawajaelekeza mioyo yao kwa Mungu wa baba zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mahali pa juu hapakuondolewa; wala mioyo ya watu bado haijakazwa kwa Mungu wa baba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hakupaharibu mahali pa kutolea tambiko kilimani. Watu walikuwa bado hawajamgeukia na kumwabudu Mungu wa babu zao kwa mioyo yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia miungu hapakuondolewa, nao watu wakawa bado hawajaelekeza mioyo yao kwa, Mungu wa baba zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa, na watu wakawa bado hawajaelekeza mioyo yao kwa Mungu wa baba zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mahali pa juu hapakuondolewa; wala mioyo ya watu bado haijakazwa kwa Mungu wa baba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hakupaharibu mahali pa kutolea tambiko kilimani. Watu walikuwa bado hawajamgeukia na kumwabudu Mungu wa babu zao kwa mioyo yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matambiko ya vilimani tu hayakukoma, kwani watu hawajamwelekezea Mungu wa baba zao mioyo yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mahali pa juu hapakuondolewa; wala mioyo ya watu bado haijakazwa kwa Mungu wa baba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakuharibu pahali pa kutambikia sadaka juu ya kilima. Watu walikuwa wangali hawajamugeukia na kumwabudu Mungu wa babu zao kwa mioyo yao.