2 Chronicles 20:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya haya, Yehoshafati mfalme wa Yuda, alijiunga na Ahazia mfalme wa Israeli, aliyetenda mambo maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatimaye Yehoshafati mfalme wa Yuda akafanya mapatano na Ahazia mfalme wa Israeli, ambaye alifanya maovu sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada ya hayo Yehoshafati mfalme wa Yuda akapatana na Ahazia mfalme wa Israeli; naye huyo ndiye aliyefanya mabaya mno;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya haya, Yehoshafati mfalme wa Yuda, alijiunga na Ahazia mfalme wa Israeli, aliyetenda mambo maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatimaye Yehoshafati mfalme wa Yuda akafanya urafiki na Ahazia mfalme wa Israeli ambaye alifanya maovu sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatimaye Yehoshafati mfalme wa Yuda akafanya urafiki na Ahazia mfalme wa Israeli ambaye alifanya maovu sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya hayo Yehoshafati mfalme wa Yuda akapatana na Ahazia mfalme wa Israeli; naye huyo ndiye aliyefanya mabaya mno;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya haya, Yehoshafati mfalme wa Yuda, alijiunga na Ahazia mfalme wa Israeli, aliyetenda mambo maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baada ya hayo Yosafati, mfalme wa Wayuda, akajiunga na Ahazia, mfalme wa Waisiraeli; lakini huyu matendo yake, aliyoyafanya, yalikuwa maovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada ya hayo Yehoshafati mfalme wa Yuda akapatana na Ahazia mfalme wa Israeli; naye huyo ndiye aliyefanya mabaya mno;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo, Yosafati mufalme wa Yuda, akajiunga na Ahazia mufalme wa Israeli, aliyetenda mambo maovu.