2 Chronicles 20:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walishirikiana kuunda merikebu za kusafiria mpaka Tarshishi; waliziundia huko Esion-geberi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaungana naye kutengeneza meli nyingi za kwenda Tarshishi, nazo zilitengenezwa huko Esion-Geberi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akapatana naye kufanya merikebu za kuendea Tarshishi; wakazifanya merikebu zile huko Esion-geberi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walishirikiana kuunda merikebu za kusafiria mpaka Tarshishi; waliziundia huko Esion-geberi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaungana naye kutengeneza meli nyingi za kwenda Tarshishi, nazo zilitengenezwa huko Esion-Geberi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaungana naye kutengeneza meli nyingi za kwenda Tarshishi, nazo zilitengenezwa huko Esion-Geberi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akapatana naye wakazitengeneza merikebu za kuendea Tarshishi; wakazifanya merikebu zile huko Esion-geberi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walishirikiana kuunda merikebu za kusafiria mpaka Tarshishi; waliziundia huko Esion-geberi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajiunga naye kwa kutengeneza merikebu za kwenda Tarsisi; wakatengeneza merikebu hata huko Esioni-Geberi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akapatana naye kufanya merikebu za kuendea Tarshishi; wakazifanya merikebu zile huko Esion-geberi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walishirikiana kutengeneza mashua za kusafiri mpaka Tarsisi, walizitengenezea kule Esioni-Geberi.