2 Chronicles 20:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wakaja Yerusalemu kutoka miji yote ya Yuda, wakakusanyika ili kumwomba Mwenyezi-Mungu awasaidie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Yuda wakakusanyika pamoja ili kutafuta msaada kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Wakaja kutoka kila mji wa Yuda ili kumtafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuda wakakusanyika pamoja ili wamtafute Bwana; hata kutoka miji yote ya Yuda wakaja kumtafuta Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wakaja Yerusalemu kutoka miji yote ya Yuda, wakakusanyika ili kumwomba Mwenyezi-Mungu awasaidie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Yuda wakakusanyika pamoja ili kutafuta msaada kutoka kwa BWANA. Wakaja kutoka kila mji wa Yuda ili kumtafuta BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Yuda wakakusanyika pamoja ili kutafuta msaada kutoka kwa bwana. Wakaja kutoka kila mji wa Yuda ili kumtafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuda wakakusanyika pamoja ili wamtafute BWANA; hata kutoka miji yote ya Yuda wakaja kumtafuta BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wakaja Yerusalemu kutoka miji yote ya Yuda, wakakusanyika ili kumwomba Mwenyezi-Mungu awasaidie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda wakakusanyika kutafuta msaada kwa Bwana; walipokwisha kufika na kutoka katika miji yote ya Yuda, wamtafute Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuda wakakusanyika pamoja ili wamtafute BWANA; hata kutoka miji yote ya Yuda wakaja kumtafuta BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wakakuja Yerusalema kutoka miji yote ya Yuda, wakakusanyika kwa kumwomba Yawe awasaidie.