2 Chronicles 20:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoshafati akasimama katikati ya kusanyiko la watu wa Yuda na Yerusalemu mbele ya ua mpya wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yehoshafati akasimama katika kusanyiko la Yuda na Yerusalemu katika Hekalu la Mwenyezi Mungu, mbele ya ua mpya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoshafati akasimama kati ya kusanyiko la Yuda na Yerusalemu, nyumbani mwa Bwana, mbele ya ua mpya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoshafati akasimama katikati ya kusanyiko la watu wa Yuda na Yerusalemu mbele ya ua mpya wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoshafati akasimama katika kusanyiko la Yuda na Yerusalemu katika Hekalu la BWANA, mbele ya ua mpya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yehoshafati akasimama katika kusanyiko la Yuda na Yerusalemu katika Hekalu la bwana, mbele ya ua mpya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoshafati akasimama kati ya kusanyiko la Yuda na Yerusalemu, nyumbani mwa BWANA, mbele ya ua mpya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoshafati akasimama katikati ya kusanyiko la watu wa Yuda na Yerusalemu mbele ya ua mpya wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosafati akaja kusimama katika huo mkutano wa Wayuda na Wayerusalemu Nyumbani mwa Bwana mbele ya ua mpya,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoshafati akasimama kati ya kusanyiko la Yuda na Yerusalemu, nyumbani mwa BWANA, mbele ya ua mpya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosafati akasimama katikati ya kusanyiko la watu wa Yuda na Yerusalema mbele ya kiwanja kipya cha nyumba ya Yawe,