2 Chronicles 21:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatimaye Yehoshafati alifariki na kuzikwa pamoja na babu zake katika makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi; naye Yehoramu mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoshafati akalala na baba zake, akazikwa pamoja nao katika Mji wa Daudi. Mwanawe Yehoramu akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoshafati akalala na babaze, akazikwa pamoja na babaze katika mji wa Daudi; akatawala Yehoramu mwanawe mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatimaye Yehoshafati alifariki na kuzikwa pamoja na babu zake katika makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi; naye Yehoramu mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoshafati akalala na baba zake, akazikwa pamoja nao katika Mji wa Daudi, mwanawe Yehoramu akaingia mahali pa baba yake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoshafati akalala na baba zake, akazikwa pamoja nao katika Mji wa Daudi. Mwanawe Yehoramu akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoshafati akalala na babaze, akazikwa pamoja na babaze katika mji wa Daudi; Yehoramu mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatimaye Yehoshafati alifariki na kuzikwa pamoja na babu zake katika makaburi ya kifalme katika mji wa Daudi; naye Yehoramu mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosafati akaja kulala na baba zake, akazikwa kwa baba zake mjini mwa Dawidi. Naye mwanawe Yoramu akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoshafati akalala na babaze, akazikwa pamoja na babaze katika mji wa Daudi; akatawala Yehoramu mwanawe mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosafati akakufa na kuzikwa pamoja na babu zake katika makaburi ya kifalme katika muji wa Daudi; naye Yoramu mwana wake akatawala pahali pake.