2 Chronicles 21:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isitoshe, alitengeneza mahali pa kuabudia miungu mingine katika milima ya Yuda na kusababisha wakazi wa Yerusalemu kukosa uaminifu na watu wa Yuda kupotoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa pia ametengeneza mahali pa juu pa kuabudia katika vilima vya Yuda na akawa amewasababisha watu wa Yerusalemu kufanya uzinzi na akawa amewapotosha watu wa Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ndiye aliyefanya mahali pa juu milimani pa Yuda, na kuwaendesha katika uasherati wenyeji wa Yerusalemu, na kuwakosesha Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isitoshe, alitengeneza mahali pa kuabudia miungu mingine katika milima ya Yuda na kusababisha wakazi wa Yerusalemu kukosa uaminifu na watu wa Yuda kupotoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa pia ametengeneza mahali pa juu pa kuabudia miungu katika vilima vya Yuda na akawa amewasababisha watu wa Yerusalemu kufanya uzinzi na akawa amewapotosha watu wa Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa pia ametengeneza mahali pa juu pa kuabudia miungu katika vilima vya Yuda na akawa amewasababisha watu wa Yerusalemu kufanya uzinzi na akawa amewapotosha watu wa Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ndiye aliyetengeneza mahali pa juu katika milima ya Yuda, na kuongoza wakazi wa Yerusalemu kukosa uaminifu na kufanya Yuda ipotoke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isitoshe, alitengeneza mahali pa kuabudia miungu mingine katika milima ya Yuda na kusababisha wakazi wa Yerusalemu kukosa uaminifu na watu wa Yuda kupotoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye naye akafanya matambiko ya vilimani katika milima ya Yuda; ndivyo, alivyowazinisha wenyeji wa Yerusalemu, nao Wayuda akawaponza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ndiye aliyefanya mahali pa juu milimani pa Yuda, na kuwaendesha katika uasherati wenyeji wa Yerusalemu, na kuwakosesha Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena alitengeneza pahali pa kuabudia miungu mingine katika milima ya Yuda na kusababisha wakaaji wa Yerusalema kukosa uaminifu na watu wa Yuda kupotoka.