2 Chronicles 21:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nabii Elia alimpelekea mfalme Yehoramu barua ifuatayo: “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Daudi babu yako, anakulaani kwa sababu hukufuata mwenendo wa Yehoshafati baba yako, au wa Asa mfalme wa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoramu akapokea barua kutoka kwa nabii Ilya iliyosema: “Hili ndilo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Daudi baba yako, asemalo: ‘Hukuenenda katika njia za Yehoshafati baba yako au za Asa mfalme wa Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Likamjia andiko kutoka kwa Eliya nabii, kusema, Bwana, Mungu wa Daudi baba yako, asema hivi, Kwa sababu hukuziendea njia za Yehoshafati baba yako, wala njia za Asa mfalme wa Yuda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nabii Elia alimpelekea mfalme Yehoramu barua ifuatayo: “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Daudi babu yako, anakulaani kwa sababu hukufuata mwenendo wa Yehoshafati baba yako, au wa Asa mfalme wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoramu akapokea barua kutoka kwa nabii Eliya iliyosema: “Hili ndilo BWANA, Mungu wa Daudi baba yako, asemalo: ‘Hukuenenda katika njia za Yehoshafati baba yako au za Asa mfalme wa Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoramu akapokea barua kutoka kwa nabii Ilya iliyosema: “Hili ndilo bwana, Mungu wa Daudi baba yako, asemalo: ‘Hukuenenda katika njia za Yehoshafati baba yako au za Asa mfalme wa Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Barua kutoka kwa nabii Eliya ilimjia, ikisema, BWANA, Mungu wa Daudi baba yako, asema hivi, Kwa kuwa hukuziendea njia za Yehoshafati baba yako, wala njia za Asa mfalme wa Yuda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nabii Elia alimpelekea mfalme Yehoramu barua ifuatayo: “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Daudi babu yako, anakulaani kwa sababu hukufuata mwenendo wa Yehoshafati baba yako, au wa Asa mfalme wa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikafika kwake barua ya mfumbuaji Elia ya kwamba: Hivi ndivyo, Bwana Mungu wa baba yako Dawidi anavyosema: kwa kuwa hukuendelea katika njia za baba yako Yosafati, wala katika njia za Asa, mfalme wa Wayuda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Likamjia andiko kutoka kwa Eliya nabii, kusema, BWANA, Mungu wa Daudi baba yako, asema hivi, Kwa sababu hukuziendea njia za Yehoshafati baba yako, wala njia za Asa mfalme wa Yuda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nabii Elia akamupelekea mufalme Yoramu barua hii: “Yawe, Mungu wa Daudi babu yako, anakulaani kwa sababu haukufuata mwenendo wa Yosafati baba yako, au wa Asa mufalme wa Yuda.