2 Chronicles 21:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu hiyo, Mwenyezi-Mungu atawaadhibu vikali watu wako, wanao, wake zako na kuiharibu mali yako yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo basi Mwenyezi Mungu yu karibu kuwapiga watu wako, wanao, wake zako na kila kitu kilicho chako, kwa pigo zito.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tazama, Bwana atawapiga pigo kubwa watu wako, na watoto wako, na wake zako, na mali yako yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu hiyo, Mwenyezi-Mungu atawaadhibu vikali watu wako, wanao, wake zako na kuiharibu mali yako yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo basi BWANA yu karibu kuwapiga watu wako, wanao, wake zako na kila kitu kilicho chako, kwa pigo zito.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo basi bwana yu karibu kuwapiga watu wako, wanao, wake zako na kila kitu kilicho chako, kwa pigo zito.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tazama, BWANA atawapiga pigo kubwa watu wako, na watoto wako, na wake zako, na mali yako yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu hiyo, Mwenyezi-Mungu atawaadhibu vikali watu wako, wanao, wake zako na kuiharibu mali yako yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na umwone Bwana, akiwapiga pigo kubwa watu wako, hata wanao na wake zako na mali zako zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tazama, BWANA atawapiga pigo kubwa watu wako, na watoto wako, na wake zako, na mali yako yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hiyo, Yawe atawaazibu vikali watu wako, wana wako, wake zako na kuharibu mali yako yote.