2 Chronicles 21:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe mwenyewe utaugua maradhi mabaya ya tumbo, ambayo yataongezeka siku hata siku, mpaka matumbo yako yatoke nje.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe mwenyewe utaugua sana kwa ugonjwa wa tumbo kwa muda mrefu, hadi ugonjwa utakaposababisha matumbo yako kutoka nje.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe utakuwa na ugonjwa mkuu kwa maradhi ya matumbo, yatakapotokea matumbo yako kwa sababu ya ugonjwa huo siku kwa siku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe mwenyewe utaugua maradhi mabaya ya tumbo, ambayo yataongezeka siku hata siku, mpaka matumbo yako yatoke nje.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe mwenyewe utaugua sana kwa ugonjwa wa tumbo kwa muda mrefu, hadi ugonjwa utakaposababisha matumbo yako kutoka nje.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe mwenyewe utaugua sana kwa ugonjwa wa tumbo kwa muda mrefu, hadi ugonjwa utakaposababisha matumbo yako kutoka nje.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe utakuwa na ugonjwa mkuu kwa maradhi ya matumbo, yatakapotokea matumbo yako kwa sababu ya ugonjwa huo siku kwa siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe mwenyewe utaugua maradhi mabaya ya tumbo, ambayo yataongezeka siku hata siku, mpaka matumbo yako yatoke nje.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe utapatwa na magonjwa mengi kwa kuugua tumboni mwako, mpaka matumbo yako yatokee kwa kuugua hivyo siku nyingi na nyingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe utakuwa na ugonjwa mkuu kwa maradhi ya matumbo, yatakapotokea matumbo yako kwa sababu ya ugonjwa huo siku kwa siku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwenyewe utapata ugonjwa mukali wa tumbo, ambao utaongezeka siku kwa siku, mpaka matumbotumbo yako yatoke inje.”