2 Chronicles 21:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulikuwa na Wafilisti na Waarabu wengine waliokuwa wakikaa karibu na Waethiopia. Hawa, Mwenyezi-Mungu aliwapandisha hasira ili wapigane na Yehoramu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akaamsha chuki ya Wafilisti na ya Waarabu walioishi karibu na Wakushi dhidi ya Yehoramu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akawaamsha roho Wafilisti, na Waarabu waliowaelekea Wakushi juu ya Yehoramu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulikuwa na Wafilisti na Waarabu wengine waliokuwa wakikaa karibu na Waethiopia. Hawa, Mwenyezi-Mungu aliwapandisha hasira ili wapigane na Yehoramu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akaamsha chuki ya Wafilisti na ya Waarabu walioishi karibu na Wakushi dhidi ya Yehoramu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akaamsha chuki ya Wafilisti na ya Waarabu walioishi karibu na Wakushi dhidi ya Yehoramu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akawaamsha roho Wafilisti, na Waarabu walioelekeana na Wakushi juu ya Yehoramu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulikuwa na Wafilisti na Waarabu wengine waliokuwa wakikaa karibu na Waethiopia. Hawa, Mwenyezi-Mungu aliwapandisha hasira ili wapigane na Yehoramu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Bwana akaziamsha roho za Wafilisti na za Waarabu waliopakana na Wanubi, wamjie Yoramu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akawaamsha roho Wafilisti, na Waarabu waliowaelekea Wakushi juu ya Yehoramu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa Wafilistini na Waarabu wengine waliokuwa wakikaa karibu na Waetiopia. Hawa, Yawe aliwapandisha hasira kusudi wapigane vita na Yoramu.