2 Chronicles 21:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakaishambulia nchi ya Yuda, wakaiteka mali yote iliyokuwamo katika jumba la mfalme na kuwachukua mateka wanawe wote na wake zake, isipokuwa Ahazia, mwanawe mdogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaishambulia Yuda, wakaivamia na kuchukua mali yote iliyopatikana katika jumba la mfalme pamoja na wanawe na wake zake. Hakubakiziwa mwana yeyote isipokuwa Ahazia aliyekuwa mdogo wa wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wakakwea juu ya nchi ya Yuda, wakaipenya, wakaichukua mali yote iliyoonekama nyumbani mwa mfalme, na wanawe pia, na wakeze; asisaziwe mwana hata mmoja, ila Ahazia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakaishambulia nchi ya Yuda, wakaiteka mali yote iliyokuwamo katika jumba la mfalme na kuwachukua mateka wanawe wote na wake zake, isipokuwa Ahazia, mwanawe mdogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaishambulia Yuda, wakaivamia na kuchukua mali zote zilizopatikana katika jumba la mfalme pamoja na wanawe na wake zake. Hakubakiziwa mwana ye yote isipokuwa Ahazia aliyekuwa mdogo wa wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaishambulia Yuda, wakaivamia na kuchukua mali zote zilizopatikana katika jumba la mfalme pamoja na wanawe na wake zake. Hakubakiziwa mwana yeyote isipokuwa Ahazia aliyekuwa mdogo wa wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wakakwea juu ya Yuda, wakaipenya, wakaichukua mali yote iliyoonekana nyumbani mwa mfalme, na wanawe pia, na wakeze; asibakizwe mtoto hata mmoja, ila Ahazia, aliyekuwa mdogo miongoni mwa wanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakaishambulia nchi ya Yuda, wakaiteka mali yote iliyokuwamo katika jumba la mfalme na kuwachukua mateka wanawe wote na wake zake, isipokuwa Ahazia, mwanawe mdogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakapanda katika nchi ya Yuda na kujipenyeza huko, wakaziteka mali zote zilizoonekana nyumbani mwa mfalme, hata watoto wake na wakeze, hakusalia mtoto kwake ila Yoahazi tu aliyekuwa mdogo katika wanawe wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wakakwea juu ya nchi ya Yuda, wakaipenya, wakaichukua mali yote iliyoonekama nyumbani mwa mfalme, na wanawe pia, na wakeze; asisaziwe mwana hata mmoja, ila Ahazia, aliyekuwa mdogo miongoni mwa wanawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakashambulia inchi ya Yuda, wakanyanganya mali yote iliyokuwa katika nyumba yake na kutwaa wana wake wote na wake zake, isipokuwa Ahazia, mwana wake mudogo.