2 Chronicles 21:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya haya yote, Mwenyezi-Mungu akamletea mfalme ugonjwa wa tumbo usioponyeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya mambo haya yote, Mwenyezi Mungu akampiga Yehoramu kwa ugonjwa wa matumbo usio wa kupona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada ya hayo yote Bwana akampiga matumbo kwa ugonjwa usioponyeka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya haya yote, Mwenyezi-Mungu akamletea mfalme ugonjwa wa tumbo usioponyeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya mambo haya yote, BWANA akampiga Yehoramu kwa ugonjwa usioponyeka wa matumbo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya mambo haya yote, bwana akampiga Yehoramu kwa ugonjwa usioponyeka wa matumbo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baada ya hayo yote BWANA akampiga matumbo kwa ugonjwa usioponyeka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya haya yote, Mwenyezi-Mungu akamletea mfalme ugonjwa wa tumbo usioponyeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baada ya hayo Bwana akampiga tumboni mwake, apate ugonjwa usio na mganga wa kuuponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada ya hayo yote BWANA akampiga matumbo kwa ugonjwa usioponyeka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo yote, Yawe akamuletea mufalme ugonjwa wa tumbo usioweza kupona.