2 Chronicles 21:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoramu alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili. Alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka minane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na mbili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka nane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, akatawala miaka minane huko Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoramu alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili. Alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka minane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipokuwa mfalme, akatawala huko Yerusalemu kwa miaka minane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka minane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, akatawala miaka minane huko Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoramu alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili. Alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka minane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoramu alikuwa mwenye miaka 32 alipoupata ufalme, akawa mfalme mle Yerusalemu miaka 8.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoramu alikuwa na umri wa miaka thelathini na miwili alipoanza kutawala, akatawala miaka minane huko Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoramu alianza kutawala akiwa na umri wa miaka makumi tatu na miwili. Alitawala akiwa kule Yerusalema kwa muda wa miaka minane.