2 Chronicles 21:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alizifuata njia mbaya za mfalme Ahabu na za wafalme wengine wa Israeli kama jamaa ya Ahabu ilivyofanya kwa sababu mkewe alikuwa binti ya Ahabu. Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, kama nyumba ya Ahabu ilivyokuwa imefanya, kwa kuwa alimwoa binti Ahabu. Akatenda maovu machoni pa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaiendea njia ya wafalme wa Israeli, kama walivyofanya nyumba ya Ahabu; kwa kuwa alikuwa amemwoa binti Ahabu; akafanya maovu machoni pa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alizifuata njia mbaya za mfalme Ahabu na za wafalme wengine wa Israeli kama jamaa ya Ahabu ilivyofanya kwa sababu mkewe alikuwa binti ya Ahabu. Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaiendea njia ya wafalme wa Israeli, kama ilivyokuwa imefanya nyumba ya Ahabu, kwa sababu alioa binti wa Ahabu. Akatenda maovu machoni pa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaenenda katika njia za wafalme wa Israeli, kama nyumba ya Ahabu ilivyokuwa imefanya, kwa kuwa alimwoa binti wa Ahabu. Akatenda maovu machoni pa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaiendea njia ya wafalme wa Israeli, kama walivyofanya nyumba ya Ahabu; kwa kuwa alikuwa amemwoa binti Ahabu; akafanya maovu machoni pa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alizifuata njia mbaya za mfalme Ahabu na za wafalme wengine wa Israeli kama jamaa ya Ahabu ilivyofanya kwa sababu mkewe alikuwa binti ya Ahabu. Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaendelea katika njia za wafalme wa Waisiraeli, kama wale wa mlango wa Ahabu walivyofanya, kwani binti Ahabu alikuwa mkewe; basi, naye akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaiendea njia ya wafalme wa Israeli, kama walivyofanya nyumba ya Ahabu; kwa kuwa alikuwa amemwoa binti Ahabu; akafanya maovu machoni pa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifuata njia mbaya za mufalme Ahabu na za wafalme wengine wa Israeli kama vile jamaa ya Ahabu ilivyofanya kwa sababu muke wake alikuwa binti ya Ahabu. Akatenda maovu mbele za Yawe,