2 Chronicles 21:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, Yehoramu pamoja na makamanda wake na magari yake yote aliondoka akawashambulia Waedomu waliokuwa wamemzunguka yeye pamoja na makamanda wake na magari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yehoramu akaenda huko pamoja na maafisa wake na magari yake ya vita. Waedomu wakamzunguka yeye na majemadari wake wa magari yake ya vita, lakini akaondoka, akapenya usiku na kuwashambulia Waedomu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akavuka Yehoramu na maakida wake, na magari yake yote pamoja naye; akaondoka usiku, akawapiga Waedomi waliomzunguka yeye na hao maakida wa magari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, Yehoramu pamoja na makamanda wake na magari yake yote aliondoka akawashambulia Waedomu waliokuwa wamemzunguka yeye pamoja na makamanda wake na magari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Yehoramu akaenda huko pamoja na maafisa wake na magari yake yote ya vita. Waedomu wakamzunguka yeye na majemadari wake wa magari yake yote ya vita, lakini akaondoka akapenya usiku na kuwashambulia Waedomu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yehoramu akaenda huko pamoja na maafisa wake na magari yake ya vita. Waedomu wakamzunguka yeye na majemadari wake wa magari yake ya vita, lakini akaondoka, akapenya usiku na kuwashambulia Waedomu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yehoramu akavuka na makamanda wake, na magari yake yote pamoja naye; akaondoka usiku, akawapiga Waedomi waliomzunguka yeye na hao makamanda wa magari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, Yehoramu pamoja na makamanda wake na magari yake yote aliondoka akawashambulia Waedomu waliokuwa wamemzunguka yeye pamoja na makamanda wake na magari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yoramu alipoondoka kuwaendea pamoja na wakuu wake, akiyachukua magari yote. Ikawa, alipoondoka usiku, akawapiga Waedomu waliomzunguka yeye na wakuu wa magari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akavuka Yehoramu na maakida wake, na magari yake yote pamoja naye; akaondoka usiku, akawapiga Waedomi waliomzunguka yeye na hao maakida wa magari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Yoramu pamoja na wakubwa wake na magari yake yote akaondoka akawashambulia Waedomu waliokuwa wamemuzunguka yeye pamoja na wakubwa wake na magari.