2 Chronicles 22:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara Athalia, mamake Ahazia, alipoona kuwa mwanawe ameuawa, alitoka akaangamiza jamii yote ya kifalme ya Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Athalia mamaye Ahazia alipoona kuwa mwanawe amekufa, akainuka na kuangamiza jamaa yote ya mfalme ya nyumba ya Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Athalia, mama wa Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaangamiza wazao wote wa kifalme wa nyumba ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara Athalia, mamake Ahazia, alipoona kuwa mwanawe ameuawa, alitoka akaangamiza jamii yote ya kifalme ya Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Athalia mamaye Ahazia alipoona kuwa mwanawe amekufa, akaondoka akawaua wazao wote wa kifalme wa nyumba ya Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Athalia mamaye Ahazia alipoona kuwa mwanawe amekufa, akainuka na kuiangamiza jamaa yote ya mfalme ya nyumba ya Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Athalia, mama wa Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaangamiza jamaa yote ya kifalme ya nyumba ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara Athalia, mamake Ahazia, alipoona kuwa mwanawe ameuawa, alitoka akaangamiza jamii yote ya kifalme ya Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atalia, mamake Ahazia, alipoona, ya kuwa mwanawe amekufa, akaondoka, akawaua wazao wote wa kifalme wa mlango wa Yuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Athalia, mama wa Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaangamiza wazao wote wa kifalme wa nyumba ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wakati Atalia mama ya Ahazia alipoona kwamba mwana wake ameuawa, alitoka akaangamiza jamii yote ya kifalme ya Yuda.