2 Chronicles 22:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahazia, alianza kutawala akiwa mwenye umri wa miaka arubaini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa Omri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mbili alipoanza kutawala, naye akatawala katika Yerusalemu kwa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa Omri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ahazia alikuwa na umri wa miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahazia, alianza kutawala akiwa mwenye umri wa miaka arubaini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa Omri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipokuwa mfalme, naye akatawala huko Yerusalemu kwa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia mjukuu wa kike wa Omri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala katika Yerusalemu kwa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa Omri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ahazia alikuwa na umri wa miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu; na mamaye aliitwa Athalia binti Omri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahazia, alianza kutawala akiwa mwenye umri wa miaka arubaini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa Omri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alikuwa mwenye miaka 22, alipoupata ufalme, akawa mfalme mle Yerusalemu mwaka mmoja. Jina la mama yake ni Atalia, binti Omuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ahazia alikuwa na umri wa miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahazia, alianza kutawala akiwa mwenye umri wa miaka makumi ine na miwili, akatawala kutoka Yerusalema kwa muda wa mwaka mumoja. Mama yake aliitwa Atalia, mujukuu wa Omuri.