2 Chronicles 23:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamkamata, na akaingia katika njia ya Lango la Farasi la ikulu, wakamuulia huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wakamkamata alipofika kwenye ingilio la Lango la Farasi, katika viwanja vya jumba la mfalme, wakamuua hapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakampisha njia; akaenda kwa kuingia pa mlango wa farasi nyumbani mwa mfalme; nao wakamwua huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamkamata, na akaingia katika njia ya Lango la Farasi la ikulu, wakamuulia huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wakamkamata alipofika kwenye ingilio la Lango la Farasi katika viwanja vya jumba la kifalme wakamwulia hapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakamkamata alipofika kwenye ingilio la Lango la Farasi katika viwanja vya jumba la mfalme wakamuulia hapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakampisha njia; akaenda kwa kuingia pa mlango wa farasi nyumbani mwa mfalme; nao wakamwua huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamkamata, na akaingia katika njia ya Lango la Farasi la ikulu, wakamuulia huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamkamata kwa mikono, naye alipofika pa kuliingilia lango la farasi penye nyumba ya mfalme, wakamwua huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakampisha njia; akaenda kwa kuingia pa mlango wa farasi nyumbani mwa mfalme; nao wakamwua huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakamukamata, na akaingia katika njia ya mulango wa Farasi wa nyumba ya kifalme, wakamwua huko.