2 Chronicles 23:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoyada akafanya agano kati yake mwenyewe, watu wote, na mfalme kwamba watakuwa watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yehoyada akafanya agano kwamba yeye na watu wote na mfalme watakuwa watu wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha, Yehoyada akafanya agano, yeye na watu wote, na mfalme, kwamba watakuwa watu wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoyada akafanya agano kati yake mwenyewe, watu wote, na mfalme kwamba watakuwa watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yehoyada akafanya agano kwamba yeye na watu wote pamoja na mfalme watakuwa watu wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yehoyada akafanya agano kwamba yeye na watu wote na mfalme watakuwa watu wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha, Yehoyada akafanya agano, yeye na watu wote, na mfalme, kwamba watakuwa watu wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoyada akafanya agano kati yake mwenyewe, watu wote, na mfalme kwamba watakuwa watu wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yoyada akafanya agano, yeye na watu wote na mfalme, wawe ukoo wake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha, Yehoyada akafanya agano, yeye na watu wote, na mfalme, kwamba watakuwa watu wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoyada akafanya agano kati yake mwenyewe, watu wote, na mufalme kwamba watakuwa watu wa Yawe.