2 Chronicles 23:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliweka mabawabu malangoni mwa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ili asije akaingia mtu yeyote aliye najisi kwa namna moja au nyingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akawaweka mabawabu kwenye malango ya Hekalu la Mwenyezi Mungu ili kwa vyovyote asije akaingia mtu yeyote aliye najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawasimamisha walinzi malangoni pa nyumba ya Bwana, asiingie aliye mchafu kwa vyo vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliweka mabawabu malangoni mwa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ili asije akaingia mtu yeyote aliye najisi kwa namna moja au nyingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akawaweka mabawabu kwenye malango ya Hekalu la BWANA ili kwamba kwa vyo vyote asije akaingia mtu ye yote aliye najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akawaweka mabawabu kwenye malango ya Hekalu la bwana ili kwamba kwa vyovyote asije akaingia mtu yeyote aliye najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaweka walinzi malangoni pa nyumba ya BWANA, asiingie aliye najisi kwa namna yoyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliweka mabawabu malangoni mwa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ili asije akaingia mtu yeyote aliye najisi kwa namna moja au nyingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaweka nao walinda malango ya Nyumba ya Bwana, mtu asiingie akiwa mwenye uchafu kwa jambo lo lote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawasimamisha walinzi malangoni pa nyumba ya BWANA, asiingie aliye mchafu kwa vyo vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaweka walinzi kwenye milango ya nyumba ya Yawe kusudi mutu yeyote anayehesabiwa kuwa muchafu kwa njia moja au nyingine asiingie.