2 Chronicles 23:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkutano wote ukafanya agano na mfalme katika nyumba ya Mungu. Yehoyada akawaambia, “Mwangalie huyu mwana wa mfalme! Mwacheni atawale kulingana na ahadi aliyoitoa Mwenyezi-Mungu kuhusu uzao wa Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kusanyiko lote wakafanya agano na mfalme katika Hekalu la Mungu. Yehoyada akawaambia, “Mwana wa mfalme atatawala, kama Mwenyezi Mungu alivyoahidi kuhusu wazao wa Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kusanyiko lote wakafanya agano na mfalme nyumbani mwa Mungu. Akawaambia, Angalieni, mwana wa mfalme atatawala, kama Bwana alivyonena juu ya wana wa Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkutano wote ukafanya agano na mfalme katika nyumba ya Mungu. Yehoyada akawaambia, “Mwangalie huyu mwana wa mfalme! Mwacheni atawale kulingana na ahadi aliyoitoa Mwenyezi-Mungu kuhusu uzao wa Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kusanyiko lote likafanya agano na mfalme kwenye Hekalu la Mungu. Yehoyada akawaambia, “Mwana wa mfalme atatawala, kama BWANA alivyoahidi kuhusu wazao wa Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kusanyiko lote likafanya agano na mfalme katika Hekalu la Mungu. Yehoyada akawaambia, “Mwana wa mfalme atatawala, kama bwana alivyoahidi kuhusu wazao wa Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kusanyiko lote wakafanya agano na mfalme nyumbani mwa Mungu. Akawaambia, Angalieni, mwana wa mfalme atatawala, kama BWANA alivyonena juu ya wana wa Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkutano wote ukafanya agano na mfalme katika nyumba ya Mungu. Yehoyada akawaambia, “Mwangalie huyu mwana wa mfalme! Mwacheni atawale kulingana na ahadi aliyoitoa Mwenyezi-Mungu kuhusu uzao wa Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huu mkutano wote ukafanya agano na mfalme Nyumbani mwa Mungu, Yoyada akawaambia: Mtazameni huyu mwana wa mfalme! Atakuwa mfalme, kama Bwana alivyosema kwa ajili ya wana wa Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kusanyiko lote wakafanya agano na mfalme nyumbani mwa Mungu. Akawaambia, Angalieni, mwana wa mfalme atatawala, kama BWANA alivyonena juu ya wana wa Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukutano wote ukafanya agano na mufalme katika nyumba ya Mungu. Yoyada akawaambia: “Muangalie huyu mwana wa mufalme! Mumwache atawale kulingana na ahadi Yawe aliyotoa juu ya uzao wa Daudi.